Design studio ya Xpress Digital Ads

Tengeneza brand yako.
Preview. Chagua. Lipa.

Jaza taarifa za biashara yako, chagua mtindo na upate previews kadhaa kabla ya kulipia design uliyoipenda.

Huduma

Preview kwanza

Usilipe kabla hujaona chaguo. Mfumo unatengeneza variants nne za design.

Pesapal

Checkout imeandaliwa kwa Pesapal API 3.0 na payment status verification.

Files zako

Baada ya malipo unaweza kupakua design iliyochaguliwa, au final file iliyowekwa na admin.